MUNGU NI MWAMINIFU // Msanii Music Group

Join this channel to get access to perks:
https://www.youtube.com/channel/UCD35TMzUo0LuM6HeQs2tsSQ/join

Mungu ni mwaminifu // LYRICS
Written by Joe Msanii

Umefanya kila jambo,
kama mwanadamu yeyote,
umeweka bidii yako kujifanikisha maisha
Umepata mawaidha kwa waliofanikiwa
ila unapojaribu hatua mbele warudi nyuma
Mungu ni mwaminifu ndio maana ametuahidi ukiweka tumaini kwake japo kidogo utasonga mbele, Yawezekana umeona giza,
ukijaribu unashindwa..
Mungu ameshaahidi leta mzigo utapumuzishwa..

Mungu ni mwaminifu, Baba ni mwaminifu, akiahidi atakutendea
Hakika anatenda

Yawezekana umedharauliwa,
kila kuchao waamka na majonzi unapoutazama mwendo unahisi umefika mwisho
yawezekana unatenda mema kwa marafiki hata familia ukidhani mzigo wapunguka bali wazidi kuwa mzito
Bwana yesu alisema tutende mema kila wakati, na mengine tusiyoyaweza japo kwa imani tutue kwake
yalo magumu hurahizishwa milima itakuwa tambarare na mahali pa kuparuza patalainishwa yawe sawa…

Chorus
Mungu ni mwaminifu, Baba ni mwaminifu
Akiahidi atakutendea,
Hakika anatenda

Akiahidi atatenda anatenda
Akiahidi atatenda anatenda

Mungu ni Mwaminifu written and English Translation by Joe Msanii

You have done everything,
Just like any other person,
You have made all efforts to succeed in life,
You have sought counsel from the most successful, but every time try you try to move forward, you move backwards

God is faithful, and that’s why He has promised, if you put even little faith in him, you will move forward,

You may have seen darkness ahead, and every time you try you fail,
God has promised "bring your burdens that you may rest"

Chorus
God is faithful, Our Father is faithful
When he promise to do it,
He surely does it

2
You may have been looked down upon, and every morning you wake up a sad person when you look at the journey and feel like you are done,
You may have done good to friends and family thinking the load is getting lighter but it gets heavier
Our Lord Jesus said, we should do good all the time and whatever we may not manage, we hand over to Him with faith

The impossible becomes possible
Mountains are made low
And the rough places shall be made smooth,

Chorus
God is faithful, Our Father is faithful
When He promise to do it,
He surely does it..